Zaburi 44:9
Psalms 44:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini sasa umetukataa na kutudhili, wala huendi tena na jeshi letu.
Psalms 44:9 in English
Psalms 44:9 · Berean Standard Bible
But You have rejected and humbled us; You no longer go forth with our armies.
Context
7bali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu,
unawaaibisha watesi wetu. 8Katika Mungu wetu tunajivuna mchana kutwa,
nasi tutalisifu jina lako milele. 9Lakini sasa umetukataa na kutudhili,
wala huendi tena na jeshi letu. 10Umetufanya turudi nyuma mbele ya adui,
nao watesi wetu wametuteka nyara. 11Umetuacha tutafunwe kama kondoo
na umetutawanya katika mataifa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.