Native Bible

Psalms 44:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika Mungu wetu tunajivuna mchana kutwa, nasi tutalisifu jina lako milele.

Psalms 44:8 in English

Psalms 44:8 · Berean Standard Bible

In God we have boasted all day long, and Your name we will praise forever. Selah

Context

6Siutumaini upinde wangu, upanga wangu hauniletei ushindi; 7bali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu, unawaaibisha watesi wetu. 8Katika Mungu wetu tunajivuna mchana kutwa, nasi tutalisifu jina lako milele. 9Lakini sasa umetukataa na kutudhili, wala huendi tena na jeshi letu. 10Umetufanya turudi nyuma mbele ya adui, nao watesi wetu wametuteka nyara.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.