Native Bible

Psalms 44:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

bali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu, unawaaibisha watesi wetu.

Psalms 44:7 in English

Psalms 44:7 · Berean Standard Bible

For You save us from our enemies; You put those who hate us to shame.

Context

5Kwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu; kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu. 6Siutumaini upinde wangu, upanga wangu hauniletei ushindi; 7bali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu, unawaaibisha watesi wetu. 8Katika Mungu wetu tunajivuna mchana kutwa, nasi tutalisifu jina lako milele. 9Lakini sasa umetukataa na kutudhili, wala huendi tena na jeshi letu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.