Native Bible

Psalms 44:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, unayeamuru ushindi kwa Yakobo.

Psalms 44:4 in English

Psalms 44:4 · Berean Standard Bible

You are my King, O God, who ordains victories for Jacob.

Context

2Kwa mkono wako uliwafukuza mataifa na ukawapanda baba zetu, uliangamiza mataifa na kuwastawisha baba zetu. 3Sio kwa upanga wao waliipata nchi, wala si mkono wao uliwapatia ushindi; ilikuwa ni kitanga cha mkono wako wa kuume, na nuru ya uso wako, kwa kuwa uliwapenda. 4Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, unayeamuru ushindi kwa Yakobo. 5Kwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu; kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu. 6Siutumaini upinde wangu, upanga wangu hauniletei ushindi;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.