Zaburi 41:10
Psalms 41:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wewe, Ee Bwana, nihurumie, ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi.
Psalms 41:10 in English
Psalms 41:10 · Berean Standard Bible
But You, O LORD, be gracious to me and raise me up, that I may repay them.
Context
8“Ugonjwa mbaya sana umempata,
kamwe hatainuka tena kitandani mwake.” 9Hata rafiki yangu wa karibu niliyemwamini,
yule aliyekula chakula changu
ameniinulia kisigino chake. 10Lakini wewe, Ee Bwana, nihurumie,
ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi. 11Najua kwamba wapendezwa nami,
kwa kuwa adui yangu hanishindi. 12Katika uadilifu wangu unanitegemeza
na kuniweka kwenye uwepo wako milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.