Native Bible

Psalms 41:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika uadilifu wangu unanitegemeza na kuniweka kwenye uwepo wako milele.

Psalms 41:12 in English

Psalms 41:12 · Berean Standard Bible

In my integrity You uphold me and set me in Your presence forever.

Context

10Lakini wewe, Ee Bwana, nihurumie, ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi. 11Najua kwamba wapendezwa nami, kwa kuwa adui yangu hanishindi. 12Katika uadilifu wangu unanitegemeza na kuniweka kwenye uwepo wako milele. 13Msifuni Bwana, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele. Amen na Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.