Zaburi 41:11
Psalms 41:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Najua kwamba wapendezwa nami, kwa kuwa adui yangu hanishindi.
Psalms 41:11 in English
Psalms 41:11 · Berean Standard Bible
By this I know that You delight in me, for my enemy does not triumph over me.
Context
9Hata rafiki yangu wa karibu niliyemwamini,
yule aliyekula chakula changu
ameniinulia kisigino chake. 10Lakini wewe, Ee Bwana, nihurumie,
ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi. 11Najua kwamba wapendezwa nami,
kwa kuwa adui yangu hanishindi. 12Katika uadilifu wangu unanitegemeza
na kuniweka kwenye uwepo wako milele. 13Msifuni Bwana, Mungu wa Israeli,
tangu milele na hata milele.
Amen na Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.