Native Bible

Psalms 35:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, umeona hili, usiwe kimya. Usiwe mbali nami, Ee Bwana.

Psalms 35:22 in English

Psalms 35:22 · Berean Standard Bible

O LORD, You have seen it; be not silent. O Lord, be not far from me.

Context

20Hawazungumzi kwa amani, bali wanatunga mashtaka ya uongo dhidi ya wale wanaoishi kwa utulivu katika nchi. 21Hunifumbulia vinywa vyao wakisema, “Aha! Aha! Kwa macho yetu wenyewe tumeliona.” 22Ee Bwana, umeona hili, usiwe kimya. Usiwe mbali nami, Ee Bwana. 23Amka, inuka unitetee! Unipiganie Mungu wangu na Bwana wangu. 24Nihukumu kwa haki yako, Ee Bwana Mungu wangu, sawasawa na haki yako; usiwaache wakusimange.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.