Zaburi 35:24
Psalms 35:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nihukumu kwa haki yako, Ee Bwana Mungu wangu, sawasawa na haki yako; usiwaache wakusimange.
Psalms 35:24 in English
Psalms 35:24 · Berean Standard Bible
Vindicate me by Your righteousness, O LORD my God, and do not let them gloat over me.
Context
22Ee Bwana, umeona hili, usiwe kimya.
Usiwe mbali nami, Ee Bwana. 23Amka, inuka unitetee!
Unipiganie Mungu wangu na Bwana wangu. 24Nihukumu kwa haki yako, Ee Bwana Mungu wangu,
sawasawa na haki yako;
usiwaache wakusimange. 25Usiwaache wafikiri, “Aha, hili ndilo tulilotaka!”
Au waseme, “Tumemmeza.” 26Wote wanaofurahia dhiki yangu
waaibishwe na wachanganyikiwe;
hao wanaojiinua dhidi yangu
wavikwe aibu na dharau.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.