Native Bible

Psalms 35:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amka, inuka unitetee! Unipiganie Mungu wangu na Bwana wangu.

Psalms 35:23 in English

Psalms 35:23 · Berean Standard Bible

Awake and rise to my defense, to my cause, my God and my Lord!

Context

21Hunifumbulia vinywa vyao wakisema, “Aha! Aha! Kwa macho yetu wenyewe tumeliona.” 22Ee Bwana, umeona hili, usiwe kimya. Usiwe mbali nami, Ee Bwana. 23Amka, inuka unitetee! Unipiganie Mungu wangu na Bwana wangu. 24Nihukumu kwa haki yako, Ee Bwana Mungu wangu, sawasawa na haki yako; usiwaache wakusimange. 25Usiwaache wafikiri, “Aha, hili ndilo tulilotaka!” Au waseme, “Tumemmeza.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.