Native Bible

Psalms 31:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninawachukia wale wanaongʼangʼania sanamu batili; mimi ninamtumaini Bwana.

Psalms 31:6 in English

Psalms 31:6 · Berean Standard Bible

I hate * those who cling to worthless idols, but in the LORD I trust.

Context

4Uniepushe na mtego niliotegewa, maana wewe ndiwe kimbilio langu. 5Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, unikomboe Ee Bwana, uliye Mungu wa kweli. 6Ninawachukia wale wanaongʼangʼania sanamu batili; mimi ninamtumaini Bwana. 7Nitafurahia na kushangilia upendo wako, kwa kuwa uliona mateso yangu na ulijua maumivu ya nafsi yangu. 8Hukunikabidhi kwa adui yangu bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.