Native Bible

Psalms 31:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uniepushe na mtego niliotegewa, maana wewe ndiwe kimbilio langu.

Psalms 31:4 in English

Psalms 31:4 · Berean Standard Bible

You free me from the net laid out for me, for You are my refuge.

Context

2Nitegee sikio lako, uje uniokoe haraka; uwe kwangu mwamba wa kimbilio, ngome imara ya kuniokoa. 3Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako. 4Uniepushe na mtego niliotegewa, maana wewe ndiwe kimbilio langu. 5Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, unikomboe Ee Bwana, uliye Mungu wa kweli. 6Ninawachukia wale wanaongʼangʼania sanamu batili; mimi ninamtumaini Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.