Zaburi 31:5
Psalms 31:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, unikomboe Ee Bwana, uliye Mungu wa kweli.
Psalms 31:5 in English
Psalms 31:5 · Berean Standard Bible
Into Your hands I commit my spirit;* You have redeemed me, O LORD, God of truth.
Context
3Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu,
uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako. 4Uniepushe na mtego niliotegewa,
maana wewe ndiwe kimbilio langu. 5Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako,
unikomboe Ee Bwana, uliye Mungu wa kweli. 6Ninawachukia wale wanaongʼangʼania sanamu batili;
mimi ninamtumaini Bwana. 7Nitafurahia na kushangilia upendo wako,
kwa kuwa uliona mateso yangu
na ulijua maumivu ya nafsi yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.