Zaburi 31:2
Psalms 31:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitegee sikio lako, uje uniokoe haraka; uwe kwangu mwamba wa kimbilio, ngome imara ya kuniokoa.
Psalms 31:2 in English
Psalms 31:2 · Berean Standard Bible
Incline Your ear to me; come quickly to my rescue. Be my rock of refuge, the stronghold of my deliverance.
Context
1Ee Bwana, nimekukimbilia wewe,
usiache nikaaibika kamwe,
kwa haki yako uniokoe. 2Nitegee sikio lako,
uje uniokoe haraka;
uwe kwangu mwamba wa kimbilio,
ngome imara ya kuniokoa. 3Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu,
uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako. 4Uniepushe na mtego niliotegewa,
maana wewe ndiwe kimbilio langu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.