Native Bible

Psalms 31:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.

Psalms 31:1 in English

Psalms 31:1 · Berean Standard Bible

In You, O LORD, I have taken refuge; let me never be put to shame; save me by Your righteousness.

Context

1Ee Bwana, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe. 2Nitegee sikio lako, uje uniokoe haraka; uwe kwangu mwamba wa kimbilio, ngome imara ya kuniokoa. 3Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.