Zaburi 31:8
Psalms 31:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hukunikabidhi kwa adui yangu bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi.
Psalms 31:8 in English
Psalms 31:8 · Berean Standard Bible
You have not delivered me to the enemy; You have set my feet in the open.
Context
6Ninawachukia wale wanaongʼangʼania sanamu batili;
mimi ninamtumaini Bwana. 7Nitafurahia na kushangilia upendo wako,
kwa kuwa uliona mateso yangu
na ulijua maumivu ya nafsi yangu. 8Hukunikabidhi kwa adui yangu
bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi. 9Ee Bwana unihurumie, kwa kuwa niko kwenye shida;
macho yangu yanafifia kwa huzuni,
nafsi yangu na mwili wangu kwa sikitiko. 10Maisha yangu yamedhoofika kwa majonzi,
naam, miaka yangu kwa kulia kwa maumivu makali;
nguvu zangu zinaisha kwa ajili ya mateso,
na mifupa yangu inachakaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.