Native Bible

Psalms 31:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwangazie mtumishi wako uso wako, uniokoe kwa ajili ya upendo wako usiokoma.

Psalms 31:16 in English

Psalms 31:16 · Berean Standard Bible

Make Your face shine on Your servant; save me by Your loving devotion.

Context

14Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee Bwana; nimesema, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” 15Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako, uniokoe mikononi mwa adui zangu na wale wanifuatiao. 16Mwangazie mtumishi wako uso wako, uniokoe kwa ajili ya upendo wako usiokoma. 17Usiniache niaibike, Ee Bwana, kwa maana nimekulilia wewe, bali waovu waaibishwe na kunyamazishwa Kuzimu. 18Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, kwa maana kwa kiburi na dharau wao husema kwa majivuno dhidi ya wenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.