Native Bible

Psalms 31:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, kwa maana kwa kiburi na dharau wao husema kwa majivuno dhidi ya wenye haki.

Psalms 31:18 in English

Psalms 31:18 · Berean Standard Bible

May lying lips be silenced— lips that speak with arrogance against the righteous, full of pride and contempt.

Context

16Mwangazie mtumishi wako uso wako, uniokoe kwa ajili ya upendo wako usiokoma. 17Usiniache niaibike, Ee Bwana, kwa maana nimekulilia wewe, bali waovu waaibishwe na kunyamazishwa Kuzimu. 18Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, kwa maana kwa kiburi na dharau wao husema kwa majivuno dhidi ya wenye haki. 19Tazama jinsi ulivyo mkuu wema wako, uliowawekea akiba wakuchao, ambao huwapa wale wakukimbiliao machoni pa watu. 20Unawahifadhi katika uvuli wa uwepo wako kutokana na hila za wanadamu; katika makao yako huwaweka salama kutokana na ndimi za mashtaka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.