Native Bible

Psalms 30:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwako wewe, Ee Bwana, niliita, kwa Bwana niliomba rehema:

Psalms 30:8 in English

Psalms 30:8 · Berean Standard Bible

To You, O LORD, I called, and I begged my Lord for mercy:

Context

6Nilipofanikiwa nilisema, “Sitatikiswa kamwe.” 7Ee Bwana, uliponijalia, uliuimarisha mlima wangu, lakini ulipouficha uso wako nilifadhaika. 8Kwako wewe, Ee Bwana, niliita, kwa Bwana niliomba rehema: 9“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? Katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako? 10Ee Bwana, unisikie na kunihurumia, Ee Bwana, uwe msaada wangu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.