Zaburi 30:6
Psalms 30:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilipofanikiwa nilisema, “Sitatikiswa kamwe.”
Psalms 30:6 in English
Psalms 30:6 · Berean Standard Bible
In prosperity I said, “I will never be shaken.”
Context
4Mwimbieni Bwana, enyi watakatifu wake;
lisifuni jina lake takatifu. 5Kwa maana hasira yake ni ya muda mfupi,
bali upendo wake hudumu siku zote.
Inawezekana kilio kiwepo usiku kucha,
lakini asubuhi kukawa na furaha. 6Nilipofanikiwa nilisema,
“Sitatikiswa kamwe.” 7Ee Bwana, uliponijalia,
uliuimarisha mlima wangu,
lakini ulipouficha uso wako
nilifadhaika. 8Kwako wewe, Ee Bwana, niliita,
kwa Bwana niliomba rehema:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.