Native Bible

Psalms 30:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwimbieni Bwana, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu.

Psalms 30:4 in English

Psalms 30:4 · Berean Standard Bible

Sing to the LORD, O you His saints, and praise His holy name.*

Context

2Ee Bwana, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya. 3Ee Bwana, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti. 4Mwimbieni Bwana, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu. 5Kwa maana hasira yake ni ya muda mfupi, bali upendo wake hudumu siku zote. Inawezekana kilio kiwepo usiku kucha, lakini asubuhi kukawa na furaha. 6Nilipofanikiwa nilisema, “Sitatikiswa kamwe.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.