Native Bible

Psalms 30:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti.

Psalms 30:3 in English

Psalms 30:3 · Berean Standard Bible

O LORD, You pulled me up from Sheol; You spared me from descending into the Pit.

Context

1Nitakutukuza wewe, Ee Bwana, kwa kuwa umeniinua kutoka vilindi, na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu. 2Ee Bwana, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya. 3Ee Bwana, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti. 4Mwimbieni Bwana, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu. 5Kwa maana hasira yake ni ya muda mfupi, bali upendo wake hudumu siku zote. Inawezekana kilio kiwepo usiku kucha, lakini asubuhi kukawa na furaha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.