Native Bible

Psalms 30:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya.

Psalms 30:2 in English

Psalms 30:2 · Berean Standard Bible

O LORD my God, I cried to You for help, and You healed me.

Context

1Nitakutukuza wewe, Ee Bwana, kwa kuwa umeniinua kutoka vilindi, na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu. 2Ee Bwana, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya. 3Ee Bwana, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti. 4Mwimbieni Bwana, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.