Native Bible

Psalms 30:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitakutukuza wewe, Ee Bwana, kwa kuwa umeniinua kutoka vilindi, na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu.

Psalms 30:1 in English

Psalms 30:1 · Berean Standard Bible

I will exalt You, O LORD, for You have lifted me up and have not allowed my foes to rejoice over me.

Context

1Nitakutukuza wewe, Ee Bwana, kwa kuwa umeniinua kutoka vilindi, na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu. 2Ee Bwana, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya. 3Ee Bwana, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.