Native Bible

Psalms 30:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? Katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako?

Psalms 30:9 in English

Psalms 30:9 · Berean Standard Bible

“What gain is there in my bloodshed,* in my descent to the Pit?* Will the dust praise You? Will it proclaim Your faithfulness?

Context

7Ee Bwana, uliponijalia, uliuimarisha mlima wangu, lakini ulipouficha uso wako nilifadhaika. 8Kwako wewe, Ee Bwana, niliita, kwa Bwana niliomba rehema: 9“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? Katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako? 10Ee Bwana, unisikie na kunihurumia, Ee Bwana, uwe msaada wangu.” 11Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.