Native Bible

Psalms 30:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe,

Psalms 30:11 in English

Psalms 30:11 · Berean Standard Bible

You turned my mourning into dancing; You peeled off my sackcloth and clothed me with joy,

Context

9“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? Katika kushuka kwangu shimoni? Je, mavumbi yatakusifu? Je, yatatangaza uaminifu wako? 10Ee Bwana, unisikie na kunihurumia, Ee Bwana, uwe msaada wangu.” 11Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe, 12ili moyo wangu uweze kukusifu na usikae kimya. Ee Bwana Mungu wangu, nitakushukuru milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.