Zaburi 27:13
Psalms 27:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nami bado nina tumaini hili: nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai.
Psalms 27:13 in English
Psalms 27:13 · Berean Standard Bible
Still I am certain to see the goodness of the LORD in the land of the living.
Context
11Nifundishe njia yako, Ee Bwana,
niongoze katika njia iliyonyooka
kwa sababu ya watesi wangu. 12Usiniachilie kwa nia za adui zangu,
kwa maana mashahidi wa uongo
wameinuka dhidi yangu,
wakipumua ujeuri. 13Nami bado nina tumaini hili:
nitauona wema wa Bwana
katika nchi ya walio hai. 14Mngojee Bwana,
uwe hodari na mwenye moyo mkuu,
nawe, umngojee Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.