Native Bible

Psalms 27:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nifundishe njia yako, Ee Bwana, niongoze katika njia iliyonyooka kwa sababu ya watesi wangu.

Psalms 27:11 in English

Psalms 27:11 · Berean Standard Bible

Teach me Your way, O LORD, and lead me on a level path, because of my oppressors.

Context

9Usinifiche uso wako, usimkatae mtumishi wako kwa hasira; wewe umekuwa msaada wangu. Usinikatae wala usiniache, Ee Mungu Mwokozi wangu. 10Hata kama baba yangu na mama wakiniacha, Bwana atanipokea. 11Nifundishe njia yako, Ee Bwana, niongoze katika njia iliyonyooka kwa sababu ya watesi wangu. 12Usiniachilie kwa nia za adui zangu, kwa maana mashahidi wa uongo wameinuka dhidi yangu, wakipumua ujeuri. 13Nami bado nina tumaini hili: nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.