Native Bible

Psalms 27:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata kama baba yangu na mama wakiniacha, Bwana atanipokea.

Psalms 27:10 in English

Psalms 27:10 · Berean Standard Bible

Though my father and mother forsake me, the LORD will receive me.

Context

8Moyo wangu unasema kuhusu wewe, “Utafute uso wake!” Uso wako, Bwana “Nitautafuta.” 9Usinifiche uso wako, usimkatae mtumishi wako kwa hasira; wewe umekuwa msaada wangu. Usinikatae wala usiniache, Ee Mungu Mwokozi wangu. 10Hata kama baba yangu na mama wakiniacha, Bwana atanipokea. 11Nifundishe njia yako, Ee Bwana, niongoze katika njia iliyonyooka kwa sababu ya watesi wangu. 12Usiniachilie kwa nia za adui zangu, kwa maana mashahidi wa uongo wameinuka dhidi yangu, wakipumua ujeuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.