Native Bible

Psalms 27:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiniachilie kwa nia za adui zangu, kwa maana mashahidi wa uongo wameinuka dhidi yangu, wakipumua ujeuri.

Psalms 27:12 in English

Psalms 27:12 · Berean Standard Bible

Do not hand me over to the will of my foes, for false witnesses rise up against me, breathing out violence.

Context

10Hata kama baba yangu na mama wakiniacha, Bwana atanipokea. 11Nifundishe njia yako, Ee Bwana, niongoze katika njia iliyonyooka kwa sababu ya watesi wangu. 12Usiniachilie kwa nia za adui zangu, kwa maana mashahidi wa uongo wameinuka dhidi yangu, wakipumua ujeuri. 13Nami bado nina tumaini hili: nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai. 14Mngojee Bwana, uwe hodari na mwenye moyo mkuu, nawe, umngojee Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.