Zaburi 21:6
Psalms 21:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakika umempa baraka za milele, umemfanya awe na furaha kwa shangwe ya uwepo wako.
Psalms 21:6 in English
Psalms 21:6 · Berean Standard Bible
For You grant him blessings forever; You cheer him with joy in Your presence.
Context
4Alikuomba maisha, nawe ukampa,
wingi wa siku milele na milele. 5Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa,
umeweka juu yake fahari na utukufu. 6Hakika umempa baraka za milele,
umemfanya awe na furaha
kwa shangwe ya uwepo wako. 7Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana;
kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa. 8Mkono wako utawashika adui zako wote,
mkono wako wa kuume utawakamata adui zako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.