Native Bible

Psalms 21:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, umeweka juu yake fahari na utukufu.

Psalms 21:5 in English

Psalms 21:5 · Berean Standard Bible

Great is his glory in Your salvation; You bestow on him splendor and majesty.

Context

3Ulimkaribisha kwa baraka tele na kumvika taji ya dhahabu safi kichwani pake. 4Alikuomba maisha, nawe ukampa, wingi wa siku milele na milele. 5Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, umeweka juu yake fahari na utukufu. 6Hakika umempa baraka za milele, umemfanya awe na furaha kwa shangwe ya uwepo wako. 7Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana; kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.