Zaburi 21:4
Psalms 21:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alikuomba maisha, nawe ukampa, wingi wa siku milele na milele.
Psalms 21:4 in English
Psalms 21:4 · Berean Standard Bible
He asked You for life, and You granted it— length of days, forever and ever.
Context
2Umempa haja ya moyo wake
na hukumzuilia maombi ya midomo yake. 3Ulimkaribisha kwa baraka tele
na kumvika taji ya dhahabu safi kichwani pake. 4Alikuomba maisha, nawe ukampa,
wingi wa siku milele na milele. 5Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa,
umeweka juu yake fahari na utukufu. 6Hakika umempa baraka za milele,
umemfanya awe na furaha
kwa shangwe ya uwepo wako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.