Native Bible

Psalms 21:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake.

Psalms 21:2 in English

Psalms 21:2 · Berean Standard Bible

You have granted his heart’s desire and have not withheld the request of his lips. Selah

Context

1Ee Bwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake kwa ushindi unaompa! 2Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake. 3Ulimkaribisha kwa baraka tele na kumvika taji ya dhahabu safi kichwani pake. 4Alikuomba maisha, nawe ukampa, wingi wa siku milele na milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.