Native Bible

Psalms 21:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake kwa ushindi unaompa!

Psalms 21:1 in English

Psalms 21:1 · Berean Standard Bible

O LORD, the king rejoices in Your strength. How greatly he exults in Your salvation!

Context

1Ee Bwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake kwa ushindi unaompa! 2Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake. 3Ulimkaribisha kwa baraka tele na kumvika taji ya dhahabu safi kichwani pake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.