Native Bible

Psalms 21:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako.

Psalms 21:8 in English

Psalms 21:8 · Berean Standard Bible

Your hand will apprehend all Your enemies; Your right hand will seize those who hate You.

Context

6Hakika umempa baraka za milele, umemfanya awe na furaha kwa shangwe ya uwepo wako. 7Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana; kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa. 8Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 9Wakati utakapojitokeza utawafanya kama tanuru ya moto. Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, moto wake utawateketeza. 10Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.