Native Bible

Psalms 21:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati utakapojitokeza utawafanya kama tanuru ya moto. Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, moto wake utawateketeza.

Psalms 21:9 in English

Psalms 21:9 · Berean Standard Bible

You will place them in a fiery furnace at the time of Your appearing. In His wrath the LORD will engulf them, and the fire will consume them.

Context

7Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana; kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa. 8Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 9Wakati utakapojitokeza utawafanya kama tanuru ya moto. Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, moto wake utawateketeza. 10Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu. 11Ingawa watapanga mabaya dhidi yako na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.