Native Bible

Psalms 2:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utawatawala kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.”

Psalms 2:9 in English

Psalms 2:9 · Berean Standard Bible

You will break them * with an iron scepter; You will shatter them like pottery.*”

Context

7Nitatangaza amri ya Bwana: Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, leo mimi nimekuzaa. 8Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, miisho ya dunia kuwa milki yako. 9Utawatawala kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 10Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima; mwonyeke, enyi watawala wa dunia. 11Mtumikieni Bwana kwa hofu na mshangilie kwa kutetemeka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.