Zaburi 2:10
Psalms 2:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima; mwonyeke, enyi watawala wa dunia.
Psalms 2:10 in English
Psalms 2:10 · Berean Standard Bible
Therefore be wise, O kings; be admonished, O judges of the earth.
Context
8Niombe, nami nitayafanya mataifa
kuwa urithi wako,
miisho ya dunia kuwa milki yako. 9Utawatawala kwa fimbo ya chuma
na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 10Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima;
mwonyeke, enyi watawala wa dunia. 11Mtumikieni Bwana kwa hofu
na mshangilie kwa kutetemeka. 12Mbusu Mwana, asije akakasirika
nawe ukaangamizwa katika njia yako,
kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula.
Heri wote wanaomkimbilia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.