Zaburi 2:8
Psalms 2:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, miisho ya dunia kuwa milki yako.
Psalms 2:8 in English
Psalms 2:8 · Berean Standard Bible
Ask Me, and I will make the nations Your inheritance, the ends of the earth Your possession.
Context
6“Nimemtawaza Mfalme wangu
juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 7Nitatangaza amri ya Bwana:
Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu,
leo mimi nimekuzaa. 8Niombe, nami nitayafanya mataifa
kuwa urithi wako,
miisho ya dunia kuwa milki yako. 9Utawatawala kwa fimbo ya chuma
na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 10Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima;
mwonyeke, enyi watawala wa dunia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.