Native Bible

Psalms 2:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitatangaza amri ya Bwana: Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, leo mimi nimekuzaa.

Psalms 2:7 in English

Psalms 2:7 · Berean Standard Bible

I will proclaim the decree spoken to Me by the LORD: “You are My Son; today I have become Your Father.*

Context

5Kisha huwakemea katika hasira yake na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema, 6“Nimemtawaza Mfalme wangu juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 7Nitatangaza amri ya Bwana: Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, leo mimi nimekuzaa. 8Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, miisho ya dunia kuwa milki yako. 9Utawatawala kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.