Zaburi 2:5
Psalms 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha huwakemea katika hasira yake na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema,
Psalms 2:5 in English
Psalms 2:5 · Berean Standard Bible
Then He rebukes them in His anger, and terrifies them in His fury:
Context
3Wanasema, “Tuvunje minyororo yao
na kuvitupilia mbali vifungo vyao.” 4Yeye atawalaye mbinguni hucheka,
Bwana huwadharau. 5Kisha huwakemea katika hasira yake
na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema, 6“Nimemtawaza Mfalme wangu
juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 7Nitatangaza amri ya Bwana:
Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu,
leo mimi nimekuzaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.