Zaburi 2:3
Psalms 2:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.”
Psalms 2:3 in English
Psalms 2:3 · Berean Standard Bible
“Let us break Their chains and cast away Their cords.”
Context
1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya,
na kabila za watu kula njama bure? 2Wafalme wa dunia wanajipanga
na watawala wanajikusanya pamoja
dhidi ya Bwana
na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. 3Wanasema, “Tuvunje minyororo yao
na kuvitupilia mbali vifungo vyao.” 4Yeye atawalaye mbinguni hucheka,
Bwana huwadharau. 5Kisha huwakemea katika hasira yake
na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.