Native Bible

Psalms 2:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye atawalaye mbinguni hucheka, Bwana huwadharau.

Psalms 2:4 in English

Psalms 2:4 · Berean Standard Bible

The One enthroned in heaven laughs; the Lord taunts them.

Context

2Wafalme wa dunia wanajipanga na watawala wanajikusanya pamoja dhidi ya Bwana na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. 3Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.” 4Yeye atawalaye mbinguni hucheka, Bwana huwadharau. 5Kisha huwakemea katika hasira yake na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema, 6“Nimemtawaza Mfalme wangu juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.