Native Bible

Psalms 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, na kabila za watu kula njama bure?

Psalms 2:1 in English

Psalms 2:1 · Berean Standard Bible

Why do the nations rage * and the peoples plot in vain?

Context

1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, na kabila za watu kula njama bure? 2Wafalme wa dunia wanajipanga na watawala wanajikusanya pamoja dhidi ya Bwana na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. 3Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.