Native Bible

Psalms 2:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumikieni Bwana kwa hofu na mshangilie kwa kutetemeka.

Psalms 2:11 in English

Psalms 2:11 · Berean Standard Bible

Serve the LORD with fear, and rejoice with trembling.

Context

9Utawatawala kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 10Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima; mwonyeke, enyi watawala wa dunia. 11Mtumikieni Bwana kwa hofu na mshangilie kwa kutetemeka. 12Mbusu Mwana, asije akakasirika nawe ukaangamizwa katika njia yako, kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. Heri wote wanaomkimbilia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.