Native Bible

Psalms 19:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani awezaye kutambua makosa yake? Nisamehe makosa yangu nisiyoyajua.

Psalms 19:12 in English

Psalms 19:12 · Berean Standard Bible

Who can discern his own errors? Cleanse me from my hidden faults.

Context

10Ni za thamani kuliko dhahabu, kuliko dhahabu iliyo safi sana, ni tamu kuliko asali, kuliko asali kutoka kwenye sega. 11Kwa hizo mtumishi wako anaonywa, katika kuzishika kuna thawabu kubwa. 12Ni nani awezaye kutambua makosa yake? Nisamehe makosa yangu nisiyoyajua. 13Mlinde mtumishi wako na dhambi za makusudi, nazo zisinitawale. Ndipo nitakapokuwa sina lawama, wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa. 14Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu, yapate kibali mbele zako, Ee Bwana, Mwamba wangu na Mkombozi wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.