Zaburi 19:13
Psalms 19:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mlinde mtumishi wako na dhambi za makusudi, nazo zisinitawale. Ndipo nitakapokuwa sina lawama, wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa.
Psalms 19:13 in English
Psalms 19:13 · Berean Standard Bible
Keep Your servant also from willful sins; may they not rule over me. Then I will be blameless and cleansed of great transgression.
Context
11Kwa hizo mtumishi wako anaonywa,
katika kuzishika kuna thawabu kubwa. 12Ni nani awezaye kutambua makosa yake?
Nisamehe makosa yangu nisiyoyajua. 13Mlinde mtumishi wako na dhambi za makusudi,
nazo zisinitawale.
Ndipo nitakapokuwa sina lawama,
wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa. 14Maneno ya kinywa changu
na mawazo ya moyo wangu,
yapate kibali mbele zako, Ee Bwana,
Mwamba wangu na Mkombozi wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.