Native Bible

Psalms 19:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hizo mtumishi wako anaonywa, katika kuzishika kuna thawabu kubwa.

Psalms 19:11 in English

Psalms 19:11 · Berean Standard Bible

By them indeed Your servant is warned; in keeping them is great reward.

Context

9Kumcha Bwana ni utakatifu, nako kwadumu milele. Amri za Bwana ni za hakika, nazo zina haki. 10Ni za thamani kuliko dhahabu, kuliko dhahabu iliyo safi sana, ni tamu kuliko asali, kuliko asali kutoka kwenye sega. 11Kwa hizo mtumishi wako anaonywa, katika kuzishika kuna thawabu kubwa. 12Ni nani awezaye kutambua makosa yake? Nisamehe makosa yangu nisiyoyajua. 13Mlinde mtumishi wako na dhambi za makusudi, nazo zisinitawale. Ndipo nitakapokuwa sina lawama, wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.