Native Bible

Psalms 18:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mbawa za upepo.

Psalms 18:10 in English

Psalms 18:10 · Berean Standard Bible

He mounted a cherub and flew; He soared on the wings of the wind.

Context

8Moshi ukapanda kutoka puani mwake, moto uteketezao ukatoka kinywani mwake, makaa ya moto yawakayo yakatoka ndani mwake. 9Akazipasua mbingu akashuka chini, mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake. 10Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mbawa za upepo. 11Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika, hema lake kumzunguka, mawingu meusi ya mvua ya angani. 12Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.